Balume Pierre: Masisi wakaaji wanaishi hali mbaya sana
Katika tarafa la Maisisi, wakazi wanaishi hali ngumu sana. Haya ni maoni ya kiongozi wa shirika lisilo la kiserikali la maendeleo ambaye alirejea kutoka eneo hilo. Huyu ni Pierre Balume, mratibu wa Shughuli za Kibinadamu kwa ajili ya uimarishaji wa amani na maendeleo jumuishi, AHCOPEDI, ambaye ndiye mgeni wetu wa